22.2 C
Dar es Salaam
Monday, September 25, 2023

Contact us: [email protected]

Omary Mashaka avuna Milioni 10 kwa sh mia ya Bikosports

Mwandishi Wetu, Tunduru

Mkazi wa Tunduru, mkoani Ruvuma, Omary Hassan, amefanikiwa kuvuna Sh milioni 10 za mchezo wa kubashiri matokeo wa Bikosports, akipata fedha hizo baada ya kugusa kilele kwa kuweka mkeka wa shilingi mia moja tu (100) na kumletea mamilioni ya bikosporti.

Hassan aliibashiri mechi 24 na kuweka mtaji wake wa Sh 100 na kugusa kilele cha ushindi kwa kubeti kuanzia mechi tatu na kuvuna hadii asilimia 100 kwa kubeti kupitia  *149*89# wakitumia namba ya kampuni 101010 na wale wanaobeti kwa kuingia mtandaoni www.bikosports.co.tz.

Akizungumzia ushindi wake huo, Mashaka aliishukuru bikosports kwa kumpatia fedha zake huku akiwashauri Watanzania wengine waingie kwenye mbio za kuwania mamilioni ya fedha kwa kuamua kutumia kampuni ya bikosports ili waonje ladha ya kugusa kilele cha ushindi.

Bikosports ni mchezo unaochezwa na Watanzania wote hususan wale wenye ndoto za kukuza uchumi wao ambapo kwa kupitia simu ya mkononi *149*89# au www.bikosports.co.tz.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,717FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles