28.2 C
Dar es Salaam
Thursday, August 11, 2022

Omar al-Bashiri apelekwa jela mjini khartoum

Rais aliyeondolewa kwa nguvu madarakani nchini Sudan Omar al-Bashir amehamishiwa katika jela ya Kobar iliyopo kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.

Taarifa hiyo imetolewa na familia huku taarifa nchini Sudan zimeliambia shirika la habari la Reuters kwamba Bashir alikuwa akishikiliwa chini ya ulinzi mkali katika makaazi ya rais baada ya kuondolewa kwake madarakani na jeshi Aprili 11.

Wakati huohuo waandamanaji bado wanaendelea kupiga kambi nje ya makao makuu ya jeshi wakitowa mwito wa kuundwa serikali ya kiraia na jeshi kujayakabidhi madaraka kwa amani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,455FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles