25.5 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 11, 2024

Contact us: [email protected]

Odd One Out Kutoka Expanse Studios – Sloti ya Kipekee

Watengenezaji wa mchezo wa Maltese – Expanse Studios wamekuwa wakijitahidi kuongeza michezo mipya kwenye orodha ya michezo iliyopo.Mchezo mpya umepewa jina la Odd One Out, ni sloti ya kipekee ambayo inatofautiana na sloti zingine zilizokuwepo.

Odd One Out ni mchanganyiko wa mchezo wa zamani wenye sifa za kisasa. Ni sloti itakayokuvutia. Ni rahisi kwa wachezaji wa mara ya kwanza kujifunza. Japokuwa, usiudharau kwa kuwa ni sloti rahisi. Una namna 243 za kushinda sambamba na sifa za kipekee zinazoweza kukuongezea ushindi mkubwa.

Unapatikana bure au kwa pesa halisi kupitia Kasino ya Meridianbet pekee, kwa namna sloti za Expanse zinavyovutia, unaweza sema huu ni mchezo wa zamani. Lahasha! Utajiuonea utofauti wake utakapoingia mchezoni.

Namna ya Kucheza Sloti ya Odd One Out

Mashine ya sloti ya Odd One Out inareel 5x zenye muonekano thabiti. Alama zake zimetengenezwa vizuri zikiwa na vitu pendwa kama vile matunda na almasi. Kumbuka, hii sio sloti maridadi. Ni mchanganyiko wa mashine za sloti za zamani na sifa za kisasa ambazo zinapatikana kwenye sloti za mwaka 2021.

Kiwango cha chini cha kubashiri ni 25, ushindi unatengenezwa kutokea kushoto kuelekea kulia kwenye reels. Utofauti upo kwenye mtawanyiko wa ushindi ambapo unalipa kwenye uelekeo wowote. Mteja anaweza kurudishiwa 96% ya malipo kupitia sloti hii.

Kwa upande wa malipo ya alama, kadi za kifalme ni alama ya ushindi mdogo. Zingine ni alama za ushindi mkubwa, rangi ya machungwa ikiwa ni ushindi mkubwa zaidi- koini 400 kwa 5 kwenye mstari. Ndizi 5 zinakupatia nusu yake. Almasi inamalipo madogo zaidi, lakini inaweza kukurudishia faida kubwa.

Sloti inamuonekano uliozoeleka. Alama zote muhimu zipo mahali pake, kitufe cha kuzungusha na kuanzisha mchezo vinaonekana vizuri. Unaweza kuzungusha sloti kwenye vifaa vyote ikiwemo, kompyuta, Mac, Android na iOS. Huna haja ya kuwaipakua – sloti inapatikana kwenye ukurasa wa Kasino wa Meridinbet.

Wakati ambapo namna ya kucheza ni rahisi, sehemu ya bonasi itakushangaza zaidi.

Sifa za Kipekee na Malipo Makubwa

Kuna sifa mbili za kipekee kwenye sloti ya Odd One Out. Ya kwanza inaitwa Usumaku Mwitu. Kila mwitu anapotokea kwenye reel ya tatu, itabadilika kuwa usumaku mwitu ambapo itabadili reel nzima kuwa mwitu. Ukipata mchanganyiko wa ushindi kwenye reel hii, utapata nafasi ya kushungusha tena ikiwa na alama zinazofanana kwenye reels.

Alama zote ambazo sio za ushindi ukiacha zinazofanana, zitaondoka kwenye reels na kukaa kwenye nafasi zingine wakati wa kurudia kuzungusha ili kuruhusu alama mpya kuchukua nafasi zao. Alama zinazofanana kutoka kushoto kwenda kulia zitasogea kwenye reel ya usumaku na zitabaki hapo.

Sifa nyingine ni mzunguko wa bure. Unatokea kwenye sehemu ya 3, 4 au 5, unakupatia mizunguko ya bure 10.15 na 25. Hii inatokea mara moja tu na haiwezi kujirudia. Mzunguko wa bure unakwenda moja kwa moja, japokuwa, safari hii umezidishwa mara 2. Kwa uwezo wa kukuzidishia ushindi, mzunguko wa bonasi unaonesha namna unaweza kushinda kwa kucheza sloti hii.

Kama unahitaji mashine nzuri ya sloti yenye mchanganyiko wa sifa za zamani na mpya, Odd One Out ni mfano mzuri. Inapatikana kwenye Kasino ya Meridianbet pekee, unaweza kuijaribu sloti hii bure au kwa pesa halisi. Ni Kasino ya Meridianbetpekee utakapoweza kufurahia michezo inayotoka Expanse Studios sambamba na mingine itakayokupa furaha.

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles