27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, July 24, 2024

Contact us: [email protected]

Ochu Sheggy: ‘Tattoo’ kwangu mwiko kabisa

ochuuu sheggyNA GLORY MLAY

MPENZI wa msanii wa Bongo Fleva, Witnez Kibonge ‘Ochu Sheggy’, anayetamba na wimbo wa ‘Shemeji yako’ ameweka wazi kwamba hatachora tattoo yoyote katika mwili wake kama wanavyofanya wasanii wengi.

Ochu alisema atauchezea mwili wake kwa kufanya kitu kitakachokuwa cha muda na si kujichora kitu chochote katika mwili wake.

“Mimi nitasuka nywele, nitavaa hereni kwa sababu najua nikichoka nitanyoa nywele, nikichoka kuvaa hereni nitavua lakini nikichora tattoo nikichoka nitaipeleka wapi,” alifafanua Ochu.

Ochu anakuwa mmoja wa wasanii wanaochukia tattoo kwa kuwa huchorwa na watu wakiwa na furaha lakini furaha ikipotea huishia katika majuto na uchungu mkubwa wa majuto ya kuchora tottoo hizo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles