23.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

Nusu fainali ya EURO 2020 kuchezwa wiki hii

Timu Nne Kupambania Nafasi Ya Kucheza Fainali ya Euro 2020.

Hakika Mashindano ya Euro 2020 yamekuwa na matokeo ya kila namna, waliotegemewa wameondoka na wasiotegemewa wamesogea mbele. Italia, Uhispania, Denmark na Uingereza kupepetana kunako hatua ya Nusu fainali wiki hii.

Jumanne hii, Italia kuchuana na Uhispania kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu fainali ya Euro 2020. Italia hajafungwa toka Oktoba 2020 na japokuwa hawakupewa nafasi kubwa kwenye mashindano haya, sasa wanakutana na Uhispania. Hispania wamefungwa mchezo 1 kati ya 28 waliyocheza siku za karibuni, wote wanamakombe ya dunia lakini nani ataibuka kidedea wiki hii. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.65 kwa Italia kwenye mchezo huu.

Jumatano itakuwa ni zamu ya Uingereza vs Denmark. Historia inaturudisha mwaka 1992 ambapo Denmark waliibuka videdea wa mashindano ya Euro, wakati ule Peter Schmeichel alikuwa golikipa wa Denmark. Safari hii ni mtoto wake – Kasper atakuwa golini. Japokuwa Gareth Southgate amekuwa akinyooshewa vidole kwa namna anavyopanga vikosi vyake, Uingereza imekuwa ikiwashangaza watu kwa matokeo wanayoyapata tangu kuanza kwa Mashindano ya Euro 2020, hakika utamu wa ngoma – ingia uicheze! Ifuate Odds ya 1.80 kwa Uingereza kupitia Meridianbet.

Alhamisi kutakuwa na mchezo wa Fluminense vs Ceara kunako Ligi soka nchini Brazil. Timu zote mbili zinaingia kwenye mchezo huu zikiwa zimetoka kushinda michezo yao ya mwisho. Wapo sawa kwa pointi (13) lakini Ceara anaongoza kwa tofauti ya magoli, dakika 90 kuamua nani mbabe wa mwenzake. Odds ya 2.15 ipo kwa Fluminense ukiwa na Meridianbet.

Tunaposema Meridianbet ni Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa, Tunamaanisha! Karibu kwenye Nyumba ya Mabingwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,301FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles