28.1 C
Dar es Salaam
Wednesday, July 24, 2024

Contact us: [email protected]

Nuru Mikidadi azoa milioni 10 za Biko

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Mwanadada mdogo kabisa mwenye umri wa miaka 20 tu, Nuru Mikidadi mwenye maskani yake Chanika, jijini Dar es Salaam, ameingia kwenye ulimwengu wa mamilionea wa bahati nasibu ya biko, baada ya kushinda Sh Milioni 10 kutoka kwenye droo kubwa iliyofanyika Jumapili iliyopita.

Nuru amekabidhiwa fedha zake Machi 17, 2022 jijini Dar es Salaam, akiitumia fursa nzuri ya kucheza biko kwa kutumia namba ya kampuni 505050 na kumbukumbu namba 2456, bila kusahau wanaocheza kwa kuingia mtandaoni kwa www.biko.co.tz.

Akizungumza katika makabidhiano hayo, Nuru ameishukuru Biko kwa kumpa fedha zake mapema, huku akiwashauri Watanzania wote kuchangamkia fursa ya bahati nasibu hiyo ya Watanzania wote ili nao wafanikiwe kushinda kama ilivyokuwa kwake kwenye droo kubwa pamoja na wanaoshinda papo kwa hapo kuanzia sh 2500 hadi milioni tano kila sekunde moja.

Mbali na wanaocheza kwa kupitia www.biko.co.tz, pia wanaotumia simu za kawaida nao wataendelea kucheza kama zamani kwa kutumia namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu namba 2456 na wote kujishindia kuanzia Sh 2,500 hadi 5,000,000 papo kwa hapo pamoja na kuingia kwenye droo kubwa zinazofanyika kila Jumapili.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles