28.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, March 22, 2023

Contact us: [email protected]

NMB yapiga tafu vifaa vya ujenzi wa shule Temeke

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo (kulia) akipokea sehemu ya msaada wa mabati 222, mbao 454 na vifaa vingine vya kuezekea madarasa kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard vilivyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya kusaidia shule mbili za msingi za Keko Magurumbasi na Buza zote za jijini Dar es Salaam.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,079FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles