22.5 C
Dar es Salaam
Saturday, June 3, 2023

Contact us: [email protected]

Ninja: Hatutaruhusu Simba itufunge

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital

Beki wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, amesema hawataruhusu Simba iwafunge katika mchezo wao wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Ninja amesema hata ingekuwa wanakutana na Simba kwa mara ya kwanza, wasingeruhusu wafungwe kirahisi.

Ninja amewataka mashabiki wa Wanajangwani hao kujitokeza uwanjani bila wasiwasi.

“Kiufupi sisi wachezaji licha ya kuwa Simba watakuwa mabingwa, hawaruhusu wawafunge, tumejiandaa vizuri kama wachezaji kikubwa tuombe uzima,” amesema Ninja.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,270FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles