28.6 C
Dar es Salaam
Monday, December 9, 2024

Contact us: [email protected]

Nilipelekwa hospitali nikiwa hoi, mwisho wa siku nikamuoa Nesi

Hakuna kitu ambacho kimekuwa kikiwarudisha watu nyuma kiuchumi au kimaisha kama wizi, vijana wanaofanya kazi ya usafirishaji kupitia pikipiki maarufu kama Bodaboda wamekuwa waanga wakubwa wa vitendo hivyo.

Jina langu naitwa Abeli kutokea Tanga nchini Tanzania, ni dereva bodaboda wa muda mrefu katika eneo langu, nimefanya kazi hii kwa miaka 10 sasa lakini changamoto nilizokutana nazo ni kubwa mno kuliko mwenzangu naweza kusema hivyo. 

Nakumbuka wakati naanza kazi hii sikuwa na Bodaboda yangu bali nilikuwa nafanya kazi kwa Bosi mwenye pikipiki na jioni nampelekea fedha zake kwa jinsi tulivyokubaliana na kinachobaki ndicho kinakuwa changu kama mshahara wangu.

Kuna siku nilipata mteja mmoja wakati wa jioni akaniomba nimpelekea safari ya mbali kidogo, kumbe alikuwa ni mwizi, bila kujua tulianza safari, baada mwendo wa kama saa moja na nusu hivi giza likawa limeingia na sehemu tuliyokuwa tunaelekea kulikuwa hakuna makazi ya watu karibu.

Tulifika sehemu yule mteja akaniomba nisimame aweze kuongea na simu kidogo, ghafla walitokea watu kadhaa na kuanza kunishambulia hadi kunipora Bodaboda yangu kisha wakaondoka.

Nilikaa eneo lile kwa muda hadi nilipopata msaada wa kurejeshwa nyumbani nikiwa nimechoka na sana majereha, nilichukua na kupelekwa hospotali ambapo nilitibiwa kwa siku kadhaa.

Basi nikiwa pale hospitali kuna muuguzi (Nesi) aliniuliza sababu ya majereha yangu na nikamuuleza kila kitu, alinionea sana huruma na kila mara akawa anakuja kunijulia hali, hadi naondoka pale hospitalini alinipa namba yake ya simu.  

Nilimueleza Bosi wangu yaliyonikuta akanielewa akanipa Bodaboda nyingine maana nilikuwa ni mfanyakazi mzuri sana, nikaanza tena kazi ile ambayo ndio ilikuwa inaendesha maisha yangu.

Hata hivyo, haikuisha miezi miwili, niliibiwa tena Bodaboda ile nikiwa kijiweni kwetu, nilimueleza Bosi wangu akachukia sana na kuamua kunifukuza kazi, nilijua anaweza kunishtaki lakini hakuweza kufanya hivyo.

Katika kupambana niliweza kupata Bodaboda ya mkopo ambayo nilitakiwa kulipia kiasi fulani hadi deni litakapomalizika ndani ya mwaka mmoja.

Nilifanya kazi na Bodaboda ile kwa kipindi cha miezi 11 nayo ikawa imeibiwa tena nikiwa nimeipaki nyumbani kwangu ambapo niliamini usalama ni mkubwa.

Niliugua ghafla hadi nikapelekwa hospitali tena, niliweza kukutana tena na yule Nesi akaniuliza vipi tena?, nilimueleza kuhusu jambo hilo na akanionea sana huruma na kusema atanisaidia.

Yule Nesi akaniambia kuwa kuna mkosi unanifuatilia katika maisha yangu hasa upande wa kazi yangu ya Bodaboda, akanishauri niende kwa Dr Bokko kufanyiwa matambiko ya kuondoa mikosi hiyo.

“Nakuhakikishia ukifanyiwa matambiko na Dr Bokko kila kitu kitakuwa sawa katika maisha yako, ngoja nikitumie namba yake kwenye SMS (+255618536050) ili uwasiliane naye na majibu mazuri utayapata ndani ya muda mfupi,” alisema.

“Huyu ndiye alinisaidia kupata kazi hii na hadi kuongeza mshahara na sasa ninalipwa vizuri sana kuliko maelezo, pia anaongeza mvuto wa kibiashara na hata kuinga biashara yako na maadui, chua hatua leo utafanikiwa,” aliniambia Nesi yule.

Basi mara moja niliwasiliana na Dr Bokko na kumueleza shida yangu ambayo ni mikosi ya kuibiwa Bodaboda kila mara, alinihakikishia kuwa tangu siku hiyo nilipowasiliana naye ndipo utakuwa mwisho wa mimi kuibiwa Bodaboda kutokana na matambiko aliyonifanyia. 

Nikiwa na matumaini kibao nilirejea tena kwenye kazi ile nikiwa na matumaini tele, cha kushangaza niliweza kuipata ile Bodaboda yangu ya mwisho ambayo ilikuwa nimebakiza mwezi mmoja iwe yangu, niliendelea na kazi na kumaliza deni lake.

Bodaboda ile nilimkabidhi kijana mwingine afanye nayo kazi, kisha mimi nikaenda kuchukua nyingine mbili za mkopo na kumpatia tena kijana mwingine na hiyo moja nikawa mimi ndio nafanyia kazi.

Hadi sasa nina Bodaboda tano na hakuna hata moja imewahi kuibiwa tena tangu nilipopata tiba kwa Dr Bokko.

Yule Nesi alikuwa kila mara ananipigia na kuniulizia maendeleo yangu, kila ambavyo nilikuwa namueleza kuwa nimefanikiwa alikuwa anajisikia furaha sana, tuendelea na urafiki wetu hadi tukajikuta tupo katika mahusiano na sasa ndiye mke wangu tukiwa tumebahatika kupata wake wawili. Mpigie Dr Bokko +255618536050.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles