29.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Nick Cannon kutooa tena

Hennessy V.S Hosts A Special Dinner With Nick CannonNEW YORK MAREKANI

MSANII wa hip hop nchini Marekani, Nick Cannon, amedai baada ya kuachana na aliyekuwa mke wake, Mariah Carey, hana mpango wa kuoa tena katika maisha yake.

Wawili hao waliachana mwaka 2014 baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka sita.

“Nadhani ndoa si kwa kila mtu, sina sababu ya kutafuta mke mwingine.

“Napenda nimuone Mariah akiendesha maisha yake vizuri kwa kuwa sasa yupo na tajiri hivyo wataishi vizuri na watalea watoto wetu,” alieleza Cannon.

Kabla ya kuachana kwao, wawili hao walifanikiwa kupata watoto wawili mapacha walioitwa, Moroccan na Monroe, ambao walizaliwa Aprili 2011.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles