Ney wa Mitego adai Curtis alimtoa Machozi

0
1444

mitegoNA JANETH MAPUNDA

STAA wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema hajawahi kutoa machozi kwa muda mrefu ila maneno ya kashfa yaliyotolewa na mzazi mwenzie yalimliza.

Akizungumzia ishu hiyo, Nay wa Mitego alisema kuwa mzazi mwezie ‘Siwema’ alitangaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa mtoto wao Curtis si damu yake.

“Sikuwahi kuyumbishwa na mitihani aliyokuwa ananipa ila kwa lile tukio nilihisi kabisa yule mwanamke amefanikiwa kuniyumbisha, nilitokwa na machozi na kushindwa kufanya kazi zangu mpaka pale nilipokwenye kwa
mkemia kuthibitisha kuwa Curtis ni mwanangu,” alisema Ney.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here