26.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 26, 2023

Contact us: [email protected]

Ne-Yo kutua Kenya

ne-yoNAIROBI, Kenya

NYOTA wa mziki wa RnB nchini Marekani, Shaffer Smith ‘Ne-Yo’ anatarajia kuwasili nchini Kenya Agosti 19, mwaka huu, kwa ajili ya tamasha la Coke Studio Africa, lakini mpaka sasa bado haijajulikana kwamba litafanyika kwenye ukumbi gani.

Mwezi uliopita msanii huyo alikuwa nchini Afrika Kusini katika tamasha la tuzo za MTV MAMA, hivyo hii itakuwa ni mara ya pili kwa msanii huyo kutua Afrika.

“Nitakuwepo nchini Kenya muda mfupi ujayo, mashabiki wakae tayari kuwa pamoja Agosti 19 mwaka huu,” alisema Ne-Yo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,726FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles