25.3 C
Dar es Salaam
Thursday, December 2, 2021

Nazizi aibukia kwenye Kickboxer

nazMKALI wa muziki wa reggae aliyewahi kuwa katika kundi la Necessary Noise la nchini Kenya, Nazizi Hirji, ameungana na msanii wa Tanzania, Zola D kwa ajili ya mafunzo ya mchezo unaotumia ngumi na mateke (Kickboxer).

Nazizi alisema amejiunga na mchezo huo ili aweke mwili wake sawa huku akidai ataendelea kuvumilia changamoto zikiwemo mazoezi magumu anayopata katika mafunzo ya mchezo huo.

“Baada ya kucheza mchezo huo uzito wangu umepungua, nazidisha kujituma katika mazoezi hayo kwa kuwa naamini siwezi kuujua mchezo huo bila kupata maumivu,” alisema Nazizi.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,640FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles