27.1 C
Dar es Salaam
Thursday, November 7, 2024

Contact us: [email protected]

Nauli za mabasi zapanda tena

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya leo Jumatatu Novemba 27, 2023, kwa safari za masafa marefu na mafupi.

Kwa mujibu wa LATRA nauli hizo zimepanda baada kupitia maoni ya wadau wa usafiri ambapo yasafari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600.

Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700.

Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900.

Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400

Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles