30.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, August 9, 2022

Nape: nitaunga mkono bajeti ya Maji haya yakifanyika

Arodia Peter, Dodoma

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), amewataka wabunge kuweka mguu sawa kuibana Serikali ili iongeze bajeti kwenye maji.

Ameyasema hayo bungeni leo Mei 2, wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maji ambapo amesema ataunga mkono bajeti hiyo endapo serikali italeta mpango mpya wa kuongeza fedha kwenye bajeti ya wizara hiyo.

“Huu mfuko wa maji jadilianeni mnavyoweza hadi tuone kuna ongezeko la fedha za kutosha ili wananchi wetu vijijini wapate maji, vinginevyo mtatuona wabunge wabaya,” amesema Nape.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,291FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles