23.8 C
Dar es Salaam
Monday, September 25, 2023

Contact us: [email protected]

Naomi Campbell aacha gumzo Kenya

MALINDI, KENYA 

NYOTA wa mitindo nchini Uingereza, Naomi Campbell, ameacha gumzo kwenye nchini Kenya baada ya picha iliochapishwa kwenye Jarida la mitindo la Vogue ikimuonesha akiwa mtupu.

Ikumbukwe Novemba mwaka jana, mrembo huyo alikuwa nchini Kenya kwa ajili ya mapumziko, lakini hakutana kufanya mahojiano na chombo chochote cha habari, lakini kilichomleta nchini humo kimejulikana.

Kumbe mrembo huyo alikuja nchini humo akiwa na timu ya Jarida la Vogue kwa ajili ya kupiga picha ambazo sasa zimewekwa wazi kupitia Jarida hilo maarufu la burudani.

Sehemu ambazo zilitumika kwa jili ya kupiga picha hizo ni mjini Malindi kama vile The Sun Resort. Hata hivyo baada ya Jarida hilo kutoka, mrembo huyo alitumia ukurasa wake wa Instagram na kuweka wazi kwamba, ilikuwa Kenya.

Picha hizo zimeacha gumzo kubwa kwa mashabiki hasa kutokana na kuwa mtupu, lakini wengine walienda mbali zaidi kudai ameitangaza nchi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,718FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles