NANDY AKANA KUWA MJAMZITO

 GLORY MLAY 

MREMBO anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’, ameweka wazi kuwa hana ujauzito ila mwili wake umeongezeka kwa sababu ya mabadiliko ya binadamu. 

Nandy, amesema mashabiki wameanza kumnyooshea vidole kuwa tayari amanasa ujauzito wa mchumba wake, Billnas jambo ambao sio kweli. 

“Watu wanasema mimi ni mjamzito kwa sababu nimenenepa, ukiangalia familia yetu wote wana maumbo makubwa halafu ni wanene labda na mimi ndio nimefikia hatua ya kuwa hivyo, sina mimba,” alisema Nandy. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here