31.3 C
Dar es Salaam
Friday, December 2, 2022

Contact us: [email protected]

‘Nakusifu’ ya Msafiri Tunga yaingia mtaani

PHOENIX, MAREKANI


MWIMBAJI wa gospo kutoka Phoenix, Marekani, Msafiri A Tunga, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake mpya, Nakusifu ukiwa kwenye maudhui tofauti.


Akizungumza na MTANZANIA jana, Tunga alisema anawashukuru waimbaji wake kwa kukamilisha wimbo huo wenye maudhui ya kwaya za Katoriki jambo lililoongeza utofauti wa nyimbo zake zilizopita.


“Ni wimbo wa kumsifu Mungu, nimeimba kitofauti ili kuonyesha utofauti naamini mashabiki wataupenda. Video tayari nimeiweka katika chaneli yangu ya YouTube na hivi karibuni itaanza kuchezwa kwenye redio na Tv hapo Afrika Mashariki,” alisema Tunga.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,507FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles