25.6 C
Dar es Salaam
Thursday, October 28, 2021

Mwili wa Hamza wazikwa Dar

Na Brighiter Masaki, Mtanzania Digital

Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na Polisi umezikwa jana Agosti 29, 2021 saa 2:30 usiku katika makaburi ya Kisutu  jijini Dar es Salaam.

Mwili huo umezikwa baada ya kuswaliwa katika msikiti wa Mamuur uliopo Upanga jijini.

Awali mwili huo ulitarajiwa kuzikwa saa 7 mchana katika makaburi hayo, lakini msemaji wa familia, Abdulrahm Hassan amesema mwili ulichelewa kwa sababu ya kazi ya kutoa risasi zilizokwama.

Aidha familia imetoa shukrani kwa waliowakimbilia kuwafariji na kuwapa pole kwa msiba wa mpendwa wao.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
163,502FollowersFollow
523,000SubscribersSubscribe

Latest Articles