22.9 C
Dar es Salaam
Friday, May 27, 2022

Mwigulu Nchemba alazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, viongozi wamjulia hali

Wauguzi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, wakimuingiza wodini Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba, aliyepata ajali leo katika Barabara ya Iringa- Dodoma.
|Picha na Ramadhan Hassan.
#MtanzaniaDigital
Baadhi ya viongozi akiwamo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, wakiwa nje ya Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, walikokwenda kumjulia hali  Mbunge wa Iramba Mgharibi, Mwigulu Nchemba.
|Picha na Ramadhan Hassan.
#MtanzaniaDigital
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Sima na Mkurugenzi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dk. Alfonce Chandika wakimwangalia Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba aliyelazwa hospitalini hapo baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia leo.
|Picha na Ramadhan Hassan.
#MtanzaniaDigital
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,429FollowersFollow
541,000SubscribersSubscribe

Latest Articles