26.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 26, 2023

Contact us: [email protected]

Mwigizaji Lulu atamani nafasi ya Dk Tulia Bungeni

IMG_5199NA MWANDISHI WETU

BAADA ya Dk Tulia kushinda nafasi ya Naibu Spika, mwigizaji mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael (Lulu) ameandika katika ukurasa wake wa Instagram akimpongeza kutokana na elimu yake ambayo anaamini ndiyo iliyompeleka katika nafasi hiyo ya Unaibu Spika.

“Kusoma kuzuri jamani, wakati wakina nanii wanaendelea kunyooshana Insta,  watu na elimu zao wananyoosha kwenye vyenye maana, dada Tulia hapo kanyoosha kwenye Unaibu Spika bila hata ya wigi wala ‘make up’, sema nami siko mbali ipo siku Magogoni kutazaa matunda, haya bisheni na huyo ndiyo Naibu Spika,’’ alimaliza kuandika hivyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,726FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles