22.2 C
Dar es Salaam
Thursday, August 11, 2022

MWIGIZAJI AKI APATA MTOTO BAADA YA MIAKA SITA YA NDOA

aki-na-mwanawe

Mwigizaji maarufu nchini Nigeria, Chinedu Ikedieze, ambaye anajulikana sana kwa jina la Aki, apata mtoto.

Aki na mkewe Nneoma Nwaijah, wamepata mtoto wao wa kwanza baada ya miaka sita ya ndoa ambayo waliifunga mwaka 2011 huko nchini Nigeria.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aki alimshukuru Mungu na aliandika kuwa kwao hiyo ni faraja kubwa kwani wamekuwa wakimsubiri kwa hamu sana mtoto huyo.

Pamoja na mambo mengine, Aki hakuweka wazi jinsia ya mtoto wake, lakini aliweka picha za mtoto huyo.

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
198,415FollowersFollow
550,000SubscribersSubscribe

Latest Articles