HABARI ZILIZOTUFIKIA
Mwongozo utoaji chanjo za mifugo wazinduliwa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, amezindua mwongozo wa utoaji wa chanjo dhidi ya...
SIASA
Hatuna changamoto za kiuongozi Arusha-Kimanta
Na Janeth Mushi, Arusha
Mkuu wa Mkoa Arusha, Idd Kimanta amesema anafurahishwa na umoja, mshikamano na upendo baina ya...
Jose Chameleone kwenye kinyang’anyiro cha umeya Kampala
Kampala, Uganda
Nyota wa muziki wa Hip hop nchini Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone ni miongoni mwa...
BIASHARA NA UCHUMI
MAONI
Tanzania isikubali kujadiliwa vibaya
Mwandishi Wetu
MOJA kati ya habari ambayo imeonekana kushtua wengi ni hatua ya Kamati ya Bunge la Umoja wa...
BUNGENI
Dk. Gwajima: Nasubiri kutumwa kazi
Na Faraja Masinde
Waziri wa mteule wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy...
Zari aongoza mastaa kutema cheche sakata la Shilole
CHRISTOPHER MSEKENA
UKATILI wa wanawake na watoto ni miongoni mwa changamoto kubwa zilizopo kwenye jamii nyingi za Waafrika ambazo...
Dk. Mpango: Serikali itaendelea kufuatilia viashiri vya uchumi
Na Mwandishi Wetu -DODOMA
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema Serikali itaendelea kufuatilia mwenendo wa viashiria...
Madhara ya corona kupunguza ukuaji pato la taifa – Dk. Mpango
Na RAMADHAN HASSAN -DODOMA
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philp Mpango, amewasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi...
- Advertisement -
MICHEZO
Tanzania Prisons kuingia kambini Jumapili
Na Victoria Godfrey, Dar es Salaam
Kikosi cha Tanzania Prisons kinatarajia kuanza mazoezi Jumapili hii kujiandaa na mzunguko...
Mgombea Urais TPC ataja vipaumbele
Na Victoria Godfrey, Dar es Salaam
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Kamati ya Paralimpiki Tanzania ( TPC), ...
24 wachukua fomu za kugombea RT
Na Victoaria Godfret, Dar es Salaam
Wagombea 24 wa nafasi mbalimbali wamejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya uongozi...
ARTICLES
Mwongozo utoaji chanjo za mifugo wazinduliwa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, amezindua mwongozo wa utoaji wa chanjo dhidi ya magonjwa ya mifugo nchini ili kuhakikisha sekta binafsi na umma...
Wanafunzi Mchinga wakabidhiwa taulo za kike
Na Mwandishi Wetu, Lindi
Taasisi ya Lorna Dadi kupitia Mradi wake wa Nisitiri (Dhamini Hedhi) imekabidhi taulo za kike zinazofuliwa kwa wanafunzi 200 wa shule za Sekondari za Milola...