24.8 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Mwanariadha Failuna kusaka medali kesho Olimpiki

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital

Mwanariadha Failuna Abdi, kesho anatarajia kupeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya Olimpiki, akikimbia mbio za Marathon nchini Japani.

Mwanariadha huyo atachuana na wanariadha 90 kutoka mataifa mbalimbali ikiwamo wa Afrika Mashariki, Kenya na Uganda.

Failuna ni mwanariadha pekee wa kike kati ya watatu wanaowakilisha Tanzania katika mashindano hayo, wengine ni Alphoce Simbu na Gabriel Geay ambao watakimbia Jumapili.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,264FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles