26.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 3, 2022

MTIBWA SUGAR BINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO 2018


Na Elizabeth Joachim,Dar es Salam

TIMU ya soka ya Mtibwa Sugar ya Manungu mkoani Morogoro kuiwakilisha nchini katika mashindano ya Kuimataifa ya Shirikisho Afrika  mwakani baada ya kunyakua kombe la Shirikisho kwa ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Singida United.

Mechi hiyo ya fainali iliyozikutanisha timu hizo zimepigwa katika uwanja Sheikh Amri  Abeid Karume uliopo mjini Arusha ambapo mtanange huo ulianza majira ya saa tisa.

mapema dakika 22 ,  salum kihimbwa aliiandikia mtibwa bao la kuongoza, kabla ya issa rashidi kuongeza lingine dakika ya 37, lakini alikuwa ni salum chuku aliyeifungia bao la kwanza singida united dakika.

dakika 71, kiungo wa singida united, tafadzwa kutinyu, aliisawazishia timu yake na kufanya ubao kusomeka 2-2, lakini dakika 81, rashid alipata kadi nyekundu kwa kumchezea rafu kiungo wa singida united, deus kaseke.

winga  wa mtibwa sugar, ismail aidan, aliiandikia bao la tatu timu yake baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa kelvin kongwe na kufanya matokeo kuwa 3-2, na timu hiyo kuibuka na ushindi huo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,573FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles