23.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 3, 2023

Contact us: [email protected]

MTEKETA ASIMULIA JPM ALIVYOMPIGIA SIMU KUMPA POLE


NA VERONICA ROMWALD - DAR ES SALAAM |

MBUNGE wa zamani wa Kilombero, Abdul Mteketa ameweka wazi jinsi Rais Dk. John Magufuli, alivyompigia na kumpa pole juu ya ugonjwa unaomsumbua.

Mteketa amesema Rais Magufuli alimsihi asiogope jinsi watu wanavyomcheka baada ya uamuzi aliochukua wa kujitangaza kuhusu ugonjwa alionao.

“Namshukuru aliyetengeneza clip ile na kumpelekea msaidizi wa Rais na Rais Magufuli alipoiona hakusita kunipigia, alinipa pole na akanitumia ambulance inilete huku Muhimbili kutibiwa.

“Alinieleza alipoiona ile clip alishangaa na kujiuliza huyu (mimi) ni papaaa au popooo, kwa sababu nimebadilika mno,” alisema.

Mteketa alisema hayo alipozungumza na MTANZANIA wodini ghorofa ya sita Jengo la MOI lililopo katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Mishipa ya Fahamu, Mgongo, Ubongo na Uti wa Mgongo Muhimbili (MOI).

“Rais aliniambia …..

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles