Msimu wa mvua za VULI 2020 kuendelea

0
441

Na MWANDISHI WETU

Msimu wa mvua za VULI 2020 unaendelea kama ulivyotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

Wananchi wanakumbushwa kuchukua tahadhari na kuwa makini katika kipindi hiki chote cha msimu.

TMA itaendelea kutoa taarifa za mara kwa mara endapo kutakuwa na tahadhari ya mvua kubwa kwa maeneo husika.

Kupata taarifa za kila siku, siku tano na za muda mrefu tembelea tovuti yetu www.meteo.go.tz

” Hali ya hewa kwa maendeleo endelevu”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here