26.4 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Msimu ndio unaelekea mwishoni, nani atatusua, nani atavurunda?

Tengeneza Tiketi Yako Ya Kibingwa Na Meridianbet!

Burudani ya soka inanoga zaidi wakati huu ambao msimu unaelekea ukingoni. Timu zinapambana kumaliza msimu kwenye nafasi za juu, nani atatusua na nani atavurunda? Mchongo wa wiki upo hivi;

Ile burudani ya kuisaka Top 4 kwenye EPL ndio inapamba moto Jumamosi hii. Arsenal kuwaalika Manchester United ndani ya Emirates Stadium. Ni muendelezo wa big match kwa timu hizi. United ametoka kupambana na Liverpool, Arsenal katoka kuchuana na Chelsea. Kitaumana!! Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.23 kwa Arsenal.

Wakati EPL ikinogeshwa kwa vita ya Arteta vs Rangnick, kule Ujerumani ni Bayern Munich vs Borussia Dortmund. Hapa zinakutana timu mbili ambazo zinawashambuliaji wawili wenye uwezo mkubwa wa kufumania nyavu – Robert Lewandowski vs Erling Haaland. Kinara wako ni nani? Kuna Odds ya 1.37 kwa Bayern ndani ya Meridianbet.

Jumapili ni zamu ya Merseyside Derby, baada ya Liverpool kuwachinja Man United pale Anfield, ni zamu ya Everton kuingia uwanjani hapo wakiongozwa na Frank Lampard. Wataingia salama lakini, wanatokaje? Toffees wanapambana kujihakikishia nafasi ya kubaki Ligi Kuu msimu ujao. The Reds wanausaka ubingwa wa EPL msimu huu. Lengo la nani litatimilika? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.18 kwa Liverpool.

Wiki itaanza upya kwa mchezo wa Crystal Palace vs Leeds United siku ya Jumatatu usiku. Soka la kibingwa linachezwa zinapokutana timu mbili ambazo zinatawala mchezo kwenye safu ya viungo. Mbinu za nani zitazaa matunda kwenye mchezo huu? Ifuate Odds ya 1.97 kwa Palace ukiwa na Meridianbet.

Bashiri Kistaarabu. Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles