28.2 C
Dar es Salaam
Monday, February 6, 2023

Contact us: [email protected]

Mshiriki kutoka Uganda ajiondoa MAISHA PLUS

uganda-arudi-kwaoNA MWANDISHI WETU

SHUGHULI zikiwa zinaendelea Kijiji cha Maisha Plus East Afrika 2016, mshiriki mmoja kati ya 29 ameamua kukiaga kijiji hicho kutokana na kushindwa maisha yake huku mshiriki mwingine naye akitishia kuaga kijiji hicho kutokana na tatizo la kiafya.

Mshiriki aliyeaga mashindano hayo ni Kakunda kutoka Uganda, aliagwa jana na washiriki wenzake na kiongozi wa kijiji hicho, Babu Rajabu.

Pia mshiriki kutoka Rwanda, Solage naye alionyesha nia ya kujitoa kutokana na matatizo ya kiafya lakini baada ya muda alirudi katika hali yake ya awali ya uchangamfu.

Licha ya hali kuwa hivyo kijijini hapo shughuli nyingine zinaendelea kama kawaida huku kazi ikiwa ndiyo msingi mkubwa kiasi kwamba ubunifu umekuwa mkubwa na Deniace Machocho kutoka Mombasa akijipatia umaarufu mkubwa wa kuuza chapati.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,471FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles