22.2 C
Dar es Salaam
Saturday, August 20, 2022

Mpoto atoa neno kwa wasanii

GLORY MLAY- DAR ES SALAAM

MSANII wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amewataka wasanii kuondoa makundi yaliyopo kwenye muziki na kuanza kushirikiana ili kuleta mafanikio kwa wengi.

Mpoto amesema kila msanii anafanya kazi kivyake hali ambayo inafanya muziki uchelewe kufika mbali.

“Kwa muda mrefu sasa wasanii wa Tanzania wamekua wakifanya kazi nzuri ndani na nje ya nchi, lakini kila mtu anacheza karata yake kivyake kutokana na network na nguvu yake,” “Nadhani sasa wakati umefika kuondoa tofauti zetu, makundi, tukawa timu moja tukae tuone tunawezaje kusaidiana kwenye nyanja za kibiashara,” alisem

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
199,057FollowersFollow
551,000SubscribersSubscribe

Latest Articles