24.9 C
Dar es Salaam
Friday, October 29, 2021

Moto wazuka kambi ya wakimbizi

WIZARA ya Uhamiaji nchini Ugiriki imethibitisha tukio la moto uliozuka kwenye kambi ya wakimbizi katika Kisiwa cha Samos.


Katika taarifa ya Wizara, hakuna aliyedhurika kwenye janga hilo na wakimbizi waliokuwapo wamehamishiwa maeneo salama kando ya kambi hiyo.


Picha zimewaonesha watoto wakilia wakati mamlaka zikiwa zimewakusanya wakimbizi ili wataalamu wa zimamoto waweze kupambana na janga hilo.
Hayo yanakuja huku kambi hiyo yenye wakimbizi 3000 ikitarajiwa kufungwa mwishoni mwa mwezi huu.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
163,522FollowersFollow
523,000SubscribersSubscribe

Latest Articles