23.8 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

Mkazi wa Mtongani ashinda milioni 10 za Biko

Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Mkazi wa Mtoni Mtongani, wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam, Ahmad Ally Mbwana, ameibuka Milionea wa Biko baada ya kushinda Sh milioni 10 za droo kubwa inayofanyika kila jumapili kwa kucheza live kwa kuingia www.biko.co.tz au kwa namba ya Kampuni ya 505050 na kumbukumbu namba 2456.

Biko ni mchezo unaochezwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi unachezwa kwa kufanya miamala kuanzia sh 1000 na kuendelea ambapo Watanzania wamekuwa kuanzia Sh 2,500 hadi milioni 5 papo kwa hapo pamoja na droo kubwa za kila Jumapili.

Mbali na wanaocheza kwa kupitia www.biko.co.tz pia wanaotumia simu za kawaida nao wataendelea kucheza kama zamani kwa kutumia namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu namba 2456 na wote kujishindia kuanzia Sh 2500 hadi milioni tano papo kwa hapo pamoja na kuingia kwenye droo kubwa zinazofanyika kila Jumapili.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles