27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 7, 2022

Contact us: [email protected]

Mjue Bingwa wa Beti wa Milioni 2 kwa Meridianbet USSD!

Wikiendi hii Meridianbet imeshuhudia bingwa mwingine wa ubashiri kwa USSD, ambaye amejikusanyia kitita cha shilingi milioni mbili kwenye ubashiri wake. Ungependa kufahamu zaidi juu ya ubashiri wake? soma hapa!
Mteja wetu makini wa USSD, ambaye alibashiri bila intaneti kwa kupiga 14910# alikuwa makini kujua historia za timu zinazocheza na kujiachia na machaguo mengi yaliyopo Meridianbet pekee.
Bingwa wetu wa beti alichangamkia uwanja mpana wa machaguo na kubashiri mechi za Ligi ya Tanzania, La Liga, Serie A na Ligue 1.
Kwa upande wa Ligi ya Tanzania, alichagua kubashiri mechi ya Ihefu dhidi ya Dodoma FC na ubashiri wake wa 1X, kuwa mwenyeji ashinde au atoe sare – ubashiri uliokuwa na odds ya 1.31.
Huku La Liga, bingwa wetu alichagua kubashiri Real Madrid dhidi ya Barcelona na kumpa ushindi Real Madrid kwa odds 2.35.
Serie A, alibashiri Inter Milan dhidi ya Us Salernitana, na Hellas Verona dhidi ya AC Milan. Akiwapa ishindi Inter kwa Odds 1.27, na AC Milan kwa Odds 1.54.
Kwa Ligi Kuu Uingereza, Aston Villa dhidi ya Chelsea alimpa Chelsea ushindi akiwa na odds ya 1.96, na Leeds United dhidi ya Arsenal na kumpa ushindi Arsenal kwa odds 1.57.
Ligue 1 pia ilijumuishwa kwenye mkeka wa bingwa huyu, mechi ya Estac Troyes dhidi ya Ec Ajaccio akiweka ubashiri wa 1X, kuwa mwenyeji apate ushindi au mechi iishe kwa sare. Ubashiri huu ulikuwa na odds 1.32.
Tiketi ya bingwa yote ilikamilishwa kwa ubashiri wa mechi saba, wenye jumla ya Odds 24.6 huku dau lake likiwa ni shilingi 100,000. Tiketi hii imemuacha na mwanzo mwema wa juma akiwa ameweka kibindoni milioni 2,445,660 TZS.
Meridianbet wanakuhakikishia machaguo kibao unapoamua kufanya ubashiri wa michezo kupitia tovuti na kwa USSD. Unaweza kubashiri bila intaneti wakati wowote kwa kupiga 14910# wakati wowote.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,670FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles