26.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 28, 2023

Contact us: [email protected]

Mjadala| Utekelezaji wa Falsafa za Mwalimu Nyerere katika Serikali ya awamu ya sita

Zoom Meeting
Saturday, Oktoba 15, 2022, 11:00 am

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum utakaofanyika Oktoba 15, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana

Mada;

Utekelezaji wa Falsafa za Mwalimu Nyerere katika Serikali ya awamu ya sita

Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Oktoba 15, 2022 – (Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3CpUbEa

Au kupitia
Meeting ID: 883 8972 2211
Passcode: 348252

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Usikose

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

  1. Bahati mbaya hakuna falsafa ya Mwalimu inayotekelezwa na CCM wala serikali ya CCM. Ni unafiki tu. Tuwe wakweli. Azimio la Zanzibar lilifuta falsafa hiyo na kuanza falsafa ya kulamba asali

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
579,000SubscribersSubscribe

Latest Articles