24.4 C
Dar es Salaam
Thursday, October 31, 2024

Contact us: [email protected]

Miss Sinza kupatikana Julai 29

Miss Sinza
Miss Sinza

 

NA ESTHER MNYIKA, DAR ES SALAAM

BENDI ya muziki wa dansi, Fm Academia, inatarajia kutumbuiza katika shindano la kumtafuta Miss Sinza litakalofanyika  Julai, 29 katika Ukumbi wa Defense, jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Rona Promotion, Nasib Mahinya, inayoratibu shindano hilo alisema kwa mwaka huu washiriki 15 ndio waliofika fainali huku wadhamini wa shindano hilo wakiwa bia ya wind hock.

Naye kiongozi wa bendi hiyo, Nyoshi Sadat, alisema wamejiandaa kutumbuiza kivingine katika fainali hiyo ya kumsaka mrembo wa Sinza.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles