Milan, Tomori bado kidogo tu

0
200

AC Milan wanakaribia kumsajili moja kwa moja beki wa kati wanayemtumia kwa mkopo kutoka Chelsea, Fikayo Tomori.

Taarifa zimedai kuwa Tomori mwenye umri wa miaka 23 ameshakutana na mkurugenzi wa Milan, Paolo Maldini, kuzungumzia dili hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here