21.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 4, 2022

MFANYABIASHARA ZAKARIA ASOMEWA SHITAKA LA UHUJUMU UCHUMI

Na SHOMARI BINDA – MUSOMA


MFANYABIASHARA anayemiliki mabasi, Peter Zacharia, amepandishwa kizimbani tena akikabiliwa na mashtaka mengine mapya tofauti na yale ya awali ya kujaribu kuua kinyume cha sheria.

Zacharia alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Julai 5, mwaka huu akikabiliwa na makosa mawili ya kujaribu kuua maofisa wawili wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Jana alirejeshwa mahakamani na kusomewa mashtaka mengine mawili ya uhujumu uchumi baada ya kupekuliwa nyumbani kwake, ambapo anadaiwa kukutwa na bunduki aina ya Shotgun na risasi tano kinyume cha sheria.

Hata hivyo wakati akipandishwa kizimbani familia pamoja na wanasheria wake walitarajia mteja wao angepata dhamana.

Licha ya Hakimu Mfawidhi Mkoa wa Mara, Rahim Mushi, kukubali ombi la dhamana ila kutokana na shtaka jipya linalomkabili atahitaji kupitia hoja za mawakili wa pande zote.

Inaendelea…………….. Jipatie nakala ya gazeti la MATANZANIA

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,654FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles