MEYA AWAONYA MAWAKALA MAEGESHO YA MAGARI

0
565
meya-isaya-wa-dar-mwita
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, amewataka mawakala wanaosimamia maegesho kuacha kuwabughudhi wamiliki wa magari kwa kuwakamata ovyo kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria.

Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, alisema ni vyema mawakala wakazingatia sheria ndogo za jiji na kuacha tabia ya kuwaonea wananchi wanaomiliki magari na kuyaegesha katikati ya jiji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here