27.1 C
Dar es Salaam
Monday, September 25, 2023

Contact us: [email protected]

‘Messi’ atua Yanga

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

YANGA SC haipoi! Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Ghana, Godfred Nyarko, kutua Tanzania leo ili kukamilisha dili la kujiunga na Wanajangwani hao.

Nyarko (23), ambaye anacheza eneo la kiungo mshambuliaji, anatokea Medeama inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana. Kwa mashabiki wa soka nchini humo, Nyarko amepachikwa jina la ‘Messi’ na hiyo inatokana na kiwango chake kufananishwa na kile cha Lionel Messi.

Endapo atamalizana na Yanga, basi nyota huyo ataungana na wachezaji wa kigeni; Fiston Mayele, Djuma Shabaan, Herritier Makambo, Khaleed Aucho, Djigui Diarra, Jesus Moloko na Yannick Bangala.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,717FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles