25.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 16, 2024

Contact us: [email protected]

Meridianbet Yazindua Duka la Kubetia Vingunguti

Meridianbet imezindua duka la kubetia eneo la Vingunguti relini ikiwa hiyo ni mwendelezo wa kuzindua maduka kila mwezi ambayo Meridianbet hufanya huku wakilenga kuwafikia kwa ukaribu wakazi wa eneo. Meridianbet inakupatia ODDS KUBWA kwa kila mchezo ambao unataka kubeti.

Meridianbet kwenye kujipambanua kwake wameona uhitaji mkubwa wa kuzindua maduka karibu kila kona ya jiji hili kutokana na uhitaji mkubwa wa watu waliopo na pia kujitangaza katika maeneo mengi kwani bishara hii inakua kila siku.

Baada ya uzinduzi wa duka hilo, mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Meridianbet, Martina Nkurlu amesema kuwa, “Meridianbet Tanzania tunayo furaha kuendelea kuwapa nafasi wakazi wa Jiji la Dar es salaam kuendelea kujipatia huduma bora za michezo ya kubarishi. Duka hili limesheheni michezo mbalimbali ya kubashiri na ya kimataifa zaidi kwani tumewaboreshea wateja wetu kwa kuwaletea mashine bora toka Ulaya na kuwawekea mazingira rafiki zaidi dukani hapa.”

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Bwana Masoko aliendelea kusema kuwa  Meridianbet wanajali thamani na ubora wa vifaa na mashine za kubashiria wateja wao na sasa wamesogeza huduma hizo hapo vingunguti relini. ODDS KUBWA unazipata hapa Meridianbet lakini pia kuna machaguo mengi zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles