30.2 C
Dar es Salaam
Monday, March 27, 2023

Contact us: [email protected]

Meridianbet Yafanya Uzinduzi Mkubwa wa Duka la Kubetia Kinondoni

Unapozungumzia starehe ya kubashiri mchezo huwezi kuwaacha Meridianbet wao ndio mabingwa wa hizi kazi, na kuthibitisha hili, wamezindua dula la kubashiri maeneo ya Kinondoni Mwanamboka. Fika sasa kubeti michezo yote imepewa ODDS kubwa na Machaguo Mengi.

Kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri mtandaoni Meridianbet wamezindua chimbo jipya la kubetia (duka la kubeti) maeneo ya Kinondoni Mwanamboka. Meridianbet pia wanatoa huduma ya kubashiri mubashara.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Ndugu Matina Nkurlu alisema kuwa duka hilo litarahisha shughuli zote za kubeti kwa wateja wa maeneo hayo na maeneo jirani na hivyo michezo mingi inapatikana ukiachana na kubeti soka, wateja watapata fursa ya kucheza mashine za sloti zenye michezo pendwa kama American poker, the money game, Sizzling Hot, Book of Era n.k, lakini pia Meridianbet ni wakali wa ODDS kubwa na bomba kwaajili yako.

“Kwenye duka hili ukiachana na kubeti mpira na kucheza keno, lakini pia wateja wetu watapata faida ya kucheza michezo ya sloti safi huhitaji kwenda kasino kila kitu unamalizia humu humu.” Nkurlu

“Meridianbet hatubagui chochote anachotaka mteja wetu tunampatia, mlitaka kubeti mpira na mechi za ligi nyingi ikiwemo ya Tanzania bara tumewapatia, tumeona haitoshi tumewaletea mashine za sloti zenye michezo mizuri na rahisi kullshinda ndio maana tunasema MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE.”

Duka hili la Meridianbet ni moja ya maduka makubwa yaliyopo kwenye jiji la Dar es Salaam ambalo lina huduma nyingi kama vile Kubeti mechi za mpira Mubashara, michezo ya keno, Sloti mashine kama American Poker n.k tembelea tovuti ya meridianbet kubashiri michezo mingi www.meridianbet.co.tz

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,213FollowersFollow
564,000SubscribersSubscribe

Latest Articles