23.6 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 10, 2024

Contact us: [email protected]

Meridian Kuyakaribisha Makampuni Makubwa Duniani Kwenye G2E

Mfumo Mpya wa Kubashiri, Ofa za Michezo Pamoja na Jakipoti Kubwa za Kasino

Kama kampuni kubwa ya michezo ya kubashiri duniani, ikiwa inafanya kazi kwenye mabara manne, Meridian Gaming itashiri maonesho makubwa duniani – Global Gaming Expo 2021 kule Las Vegas, Marekani. Michezo mipya, mawazo mapya ya michezo ya kubashiri na mengine mengi, yameshawekwa tayari kuwasilishwa kwenye hadhira ya wanamichezo wa Marekani.

Titan Roulette Deluxe na Circus Fever Deluxe ni michezo mipya kwenye kasino ya Meridian na itaonekana kwenye maonesho ya Las Vegas. Tayari ni michezo inayoongoza kwa kupendwa duniani kutokana na upekee wake pamoja na bonasi inayotolewa mara mbili.

Kwa sasa, Kasino ya Meridian inapambwa kwa neno moja tu – jakipoti kubwa duniani! Tumekuwa tukitoa mamilioni ya pesa kwa washindi na jakipoti za kasino kwa muda mrefu. Lakini, kubwa kuliko imeweka rekodi kwenye michezo ya sloti duniani. Na pengine itaendelea kubaki hivyo.

Kwa siku za karibuni, Meridian imetoa jakipoti ya €1,129,692.15 kwenye mchezo was loti ya Wild Crusade: Empire Treasures. Hii ni jakipoti kubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye soko la Ulaya.

Kwa Meridian, hii sio stori pekee. Kila siku, michezo mipya, inayovutia inaongezeka!

Ukiongelea michezo ya kubashiri, Meridian inavingi vya kuonesha kwenye G2E, cha kukumbukwa zaidi ni sifa ya kutengeneza mkeka mubashara pamoja (Live Bet Builder) na Triple Chance (nafasi tatu)

Mtandao maridadi wa B2C na B2B katika michezo ya kubashiri na teknolojia ya michezo, inakusubiri kukuonesha ubora wake ndani ya Las Vegas!

Miaka 20 ya Meridian Gaming kutoa burudani inayoendana na jamii

Ilianzishwa mwaka 2001. Leo hii, Meridianbet ni kinara duniani kwenye utengenezaji na usambazaji teknolojia ya michezo ya kubashiri na kasino za mitandaoni, inafanya kazi kwenye zaidi ya sehemu 30 barani Ulaya, America na Africa. Ina zaidi ya wafanyakazi 1,200 ambao ni wabobezi nah ii inaifanya kampuni kutoa huduma zenye ubunifu, zinazovutia na zenyye uwajibikaji kwenye michezo ya kubashiri, kasino za mitandaoni na michezo ya sloti.

Meridian Gaming imetengeneza michezo yake ya kasino zaidi ya 40  ambapo, michezo mingi imekua ikifanya vizuri duniani kama vile: Titan Roulette, Titan Dice, Diamond BlackJack, Sic Bo, Mayas Treasure, Golden HiLo, Fairy in Wonderland, Piggy Party, Evoji, Sticky 777, Circus Fever, Crazy Horses, Meg Pixel Poker, Gem Miner, Wild Corrida, Swipe, Keno Instant, Odd One Out, Bounty Hunters, Forrest Rock, Titan Roulette DeLuxe, Lucky Betting Shop, Battle for the Throne, Book of Eskimo, Circus Fever DeLuxe, Wild Icy Fruits, Book of Egypt, Capital City Derby na michezo mingine mingi.

Kwa uzoefu uliopo kwenye eneo la mitandaoni, Meridianbet inazaidi ya sehemu 800 zinazofanyakazi katika soko la kubashiri. Tangu kuanzishwa kwake, kampuni imekuwa na mahusiano mazuri na yenye tija na serikali 55 za mitaa, mamlaka za usimamizi na kuweka viwango bora vya utoaji huduma kwa jamii. Kufuata misingi bora ya utendaji kazi ni kitu cha kwanza, kwa kuwekeza kwenye usimamizi na uzuiaji wa vitendo vyote vinavyoweza kuleta madhara kwenye michezo ya kubaharisha. Kampuni ni watu na watumiaji kwanza, kote – ndani na nje ya mahusiano ya masoko.

Kubashiri Kistaarabu

Meridianbet itaendelea kusisitiza ubashiri wa kistaarabu kwa kuongeza thamani kwenye jamii na kuheshimu haki za watumiaji. Uaminifu ni kitu muhimu na mara nyingi hakionekani kama sehemu ya mafanikio kwenye michezo ya kubashiri, kuwasiliana na wateja na kusikiliza mahitaji yao ni sehemu kubwa ya utendaji kazi na maendeleo ya kampuni. Kama kinara duniani, Meridianbet inaaminiwa na wateja wake kutokana na uwazi na kufuata sheria, kanuni na miongozo yote iliyowekwa kiutendaji.

Tangu kutokea kwa janga la Covid-19 na kupelekea kufungwa kwa michezo. Katika kuendana na hali hii ngumu, Meridianbet imeendelea kuboresha huduma zake kwa mahitaji ya wateja. Hii ni kwa kuwafundisha na kuwapa uelewa na uzoefu kwenye mambo mbalimbali tunayofanyia kazi.

Net-Zero Carbon kufikia 2040

Kama sehemu ya lengo la kuwa kampuni kubwa inayomtazama zaidi mteja duniani, Meridianbet imedhamiria kutengeneza mfumo endelevu wa kibiashara kwa wafanyakazi, washirika na wateja wake. Kuelekea kwenye dunia ambayo kiwango cha carbon kitakua 0, Meridianbet inaboresha mzunguko wake wote wa uzalishaji kuendana na ajenda hiyo – kuanzia kwa watengenezaji mpaka kwa washirika, wasambazaji, wafanyakazi na wadau.

Meridianbet inatengeneza mabingwa wapya – shule za michezo na kusaidia vilabu vya mitaani.

Jezi, vifaa vya michezo, viatu, mipira n.k ni kitu kingine ambacho ni uwekezaji kwa jamii zijazo. Kwa ushirikiano na vilabu na mashirkisho ya michezo sehemu zote tunapofanya kazi, Meridian imeanzisha mradi wake jumuishi – shule za michezo bure.

Kwa Meridianbet, hakuna kitu kama “ndogo” na “kubwa”, mzoefu na chipukizi – mashabiki wote wa michezo duniani wanaweza kusaidiwa na Meridianbet. Zaidi ya vilabu 50 wameshaingia kwenye mtandao wa udhamini wa Meridian Global mpaka sasa.

Zaidi ya $1M imechangiwa kwenye kusaidia changamoto za Covid-19 duniani.

Tangu kumetokea janga la Covid19, Meridian Gaming Group, moja ya kampuni kubwa ya michezo ya kubashiri duniani, imejitolea kusaidia jamii sehemu zote inazofanya kazi.

Kumaliza hili, mpaka sasa Meridian imeshachangia $1M kwenye matibabu na huduma nyingine kwa maeneo 150 barani Ulaya, LATAM na Afrika.

Kwa miezi 18 sasa, Meridian imeendelea kuzisaidia hospitali za taifa na vituo vya afya, nyumba salama, vituo vya mabadiliko, maendeleo ya jamii na taasisi mbalimbali Kusini Mashariki mwa Ulaya, Umoja wa Ulaya, LATAM, Amerika ya Kati, Afrika na Asia.

Pia, kampuni imeshirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) katika kusaidia utoaji wa chanjo na mpango wa kuwasaidia wahanga wa Covid-19

Shukrani kwa kampuni kama Meridianbet, WHO imeweza kuzisaidia nchi nyingi katika mchakato wao wa kutoa chanjo ya Covid-19.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles