30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

Meek Mill alia ndege yake kupekuliwa

MIAMI, MAREKANI

RAPA Robert Williams maarufu kama Meek Mill, amekasirishwa na kitendo cha maafisa wa usalama kupekua mara tatu ndege yake binafsi, usiku wa kuamkia jana huko Miami nchini Marekani.

Meek Mill, amedai kuna mtu aliwapa taarifa maafisa hao kuwa ndani ya ndege yake kuna mzigo wa dawa za kulevya anazokwenda mapumziko jambo ambalo si kweli.

“Wanaipekua ndege yangu tena. Kuna mtu amewapigia simu. Watakuwa wanatafuta dawa za kulevya kwetu, haya ni matusi,” alilalamika Mill.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles