26.6 C
Dar es Salaam
Sunday, November 3, 2024

Contact us: [email protected]

Mechi za Kuamua Nani Kufuzu 16 Bora-UCL

Baada ya mechi 5 za mwanzo kuchezwa, sasa hii ni mechi ya 6 ya kuamua ni nani atafuzu hatua ya 16 bora, nani ataenda Europa nani kufungashiwa vilago UCL, wakati huo Man City, Chelsea, Napoli, Madrid, Inter Milan na PSG, Liverpool, Dortmund, Porto na Club Brugge, Bayern, Benfica wapo sehemu salama, wakati Kundi D yeyote ana nafasi ya kufuzu.

Jumanne mapema sana Liverpool watakusha dimbani kukipiga na Napoli, wote wameshafuzu ila itakuwa ni mechi ya kuweka historia wakati ambapo Napoli anatafuta kufuzu bila kupoteza mchezo hata mmoja. Huku Sadio Mane akiwasubiriwa kuonesha makali yake kwenye dimba la Allianz Arena watakapo menyana na Inter Milan. Meridianbet wameweka Odds kubwa kwenye mechi hizi.

Ikiwa kishajulikana ni wapi anakwenda, Barca hawatokuwa na cha kupoteza Zaidi ya kukamilisha ratiba dhidi ya Viktoria Plzen, ni kama ndoto za Lewandowski zimezima mapema kwenye UCL. FC Porto ya ureno wao watakamilisha ratiba yao wakiwa nyumbani dhidi ya Atletico Madrid, Atletico anatafuta ushindi ili akajipoze kwenye Europa. Mechi ina machaguo Zaidi ya 1000 Merdianbet, Bashiri sasa.

Kule kwenye kundi la mauji, kundi D ni Marseille atakuwa nyumbani dhidi ya Tottenham, Kane, Son, wanakazi kubwa ya kuhakikisha Timu yao inafuzu hatua ya 16 bora. Wakati huo Ranger watakipiga na Ajax, Na Leverkusena watacheza na Club Brugge. Na mbungi itawaka wakati Sporting CP watakipiga na Frankfurt.

Siku ya Jumatano sasa, moto utawaka Real Madrid atawaalika Celtic, na Chelsea wakiwa na uhakika wa kufuzu 16 bora, watashuka kwenye dimba lao Stamford Bridge Dinamo Zagreb. AC Milan watawaalika Salzburg na Juventus wakiwa hawana matumaini ya kusonga mbele watakuwa nyumbani kuwakabili kina Messi, Mbappe na Neymar Jr. Odds kubwa utazipata Meridianbet pekee. Bonyeza hapa kubashiri.

Erling Haaland atarudi tena kwenye dimba la Ettihad, kukamilisha ratiba ya UCL kwenye hatua hii ya makundi huku timu yake ikiwa tayari imefuzu hatua inayofuata, City atavaana na Sevilla. Na Dortmund watakuwa ugenini kukamilisha ratiba dhidi ya Copenhagen, wakati huo Maccabi Haifa atakamilisha ratiba yake akiwa nyumbani dhidi ya Benfica. Maccabi ana odds ya 4.41 huku sare ikiwa na 4.01 ni Meridianbet pekee unakutana na Odds za kishua.

Pia, mbali na ubashiri wa Michezo una nafasi ya kushinda zaidi kwenye michezo ya kasino, na promosheni kibao. Furahia michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kujiweka kwenye nafasi bora ya kushinda kasino jackpoti.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles