28.7 C
Dar es Salaam
Wednesday, September 18, 2024

Contact us: [email protected]

Mechi kadhaa za fainali kupigwa wikiendi hii

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Michuano ya Euro imetamatika lakini bado Meridianbet inatambua faida kubwa kwako. Sasa mechi za ligi mbalimbali duniani kupewa uzito mkubwa Zaidi wikiendi hii. Bashiri na uwe miongoni mwa mabilionea sasa!

ijumaa hii, Ligi kuu ya Ireland inaendelea, Derry City Fc itakuwa nyumbani kucheza na Shamrock Rovers ambao wanaongoza ligi hiyo. Kwa kutambua ukubwa Rovers, Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.90 kwao ili ikufaidishe.

Siku ya Jumamosi, kule Urusi kutakuwa na fainali ya Russian Super Cup kati ya Zenit na Lomotiv Moscow. Zenit wamebeba kombe hilo mara tano, huku Locomotiv Moscow wakibeba mara 3. Je, nani atabeba mara hii? Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.65 kwa Zenit, bashiri sasa!

Jumapili hii, kutakuwa na fainali nyingine ya Belgian Super Cup, KRC Genk atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Club Brugge. Meridianbet imeweka Odds ya 1.75 Kwa Club Brugge.

Siku ya Jumatatu napo hakupoi, ligi ya Denmark itaanza, Silkeborg watakuwa nyumbani kuwaalika Sonderjyske. Je, nani ataanza msimu kwa ushindi? Silkeborg amewekewa odds ya 1.75 na Meridianbet!
Ni rahisi sana kuwa bingwa wikiendi hii, cha kufanya nikuchangamkia fursa tu. Piga *149*10# kujiunga au tembelea www.meridianbet.co.tz  na ujiunge na familia ya mabingwa

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles