30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, September 23, 2021

Mdahalo vyuo vikuu Zanzibar kufanyika Septemba

Na Mwandishi wetu

Idara ya Vyuo Vikuu Zanzibar imeandaa mdahalo maalumu utakaokutanisha vijana mbalimbali kujadili kuhusu Uchaguzi Mkuu.

Mdahalo huo unatarajiwa kufanyika Septemba Mosi katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Suza – Tunguu.

Lengo la mdahalo huo ni kuzungumzia wajibu wa vijana katika uchaguzi mkuu na maendeleo yao baada ya uchaguzi.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,796FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles