22.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 14, 2024

Contact us: [email protected]

Mchezaji Polisi Tanzania ahamishiwa MOI

NA MWANDISHI WETU

Mshambulaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mdamu, amehamishiwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye Taasisi ya Mifupa (MOI)kutoka KCMC alikokuwa amelazwa baada ya iliyopata timu hiyo mkoani Kilimanjaro .

Mdamu ni miongoni mwa wachezaji wa timu hiyo waliopata ajali basi, Julai 9, 2021 wakati wakitoka mazoezini na yeye kuvunjika miguu.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa klabu ya Polisi Tanzania, Hassan Juma,mchezaji huyo amehamishiwa Muhimbili, lengo ni kumsogeza karibu na familia yake wakati akiendelea na matibabu.

“Kwa sasa anaendelea vizuri na amelazwa MOI, tunategemea pale maendeleo ya afya yake yatakapoimarika, ataendelea kupata matibabu mengine ya kawaida kwenye hospitali ya Polisi iliyopo Kurasini,” amesema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles