26.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 9, 2024

Contact us: [email protected]

Mbunifu wa fulana ya Jay- Z aomba msamaha

Kenya,

Mbunifu wa mavazi, Zeddie Loky aliyeripotiwa kuchapisha fulana zenye picha ya Msikiti wa zamani wa kihistoria Lamu uliopo nchini Kenya aomba msamaha kwa waaumini wa dini ya kiislamu.

Mbunifu Loky aomba msamaha baada ya waamuni wa kiisam kutoridhishwa na kitendo hicho, huku zikisambaa picha za msaanii maarufu kutoka Nchini marekani Jay- Z kuonekana akiwa amevalia fulana hiyo yenye picha ya msikiti wa lamu.

Katibu mkuu wa msikiti wa lamu, Abubakar Badawy alisema walipinga kitendo cha fulana zenye picha za msikiti wa Lamu kuvaliwa sehemu za starehe pia wameridhia maombi ya msamaha kwa mbunifu wa fulana hizo.

Katibu Badawy aliendelea na kusema kuwa wamekubali kutoa kumsamehe mbunifu wa fulana hizo kwa kuonesha alifanya kitendo hicho kwa nia njema.

Pia msikiti wa lamu ulijengwa karne ya 19 ni miongoni mwa vivutio vikubwa vya kitalii na lamu imetajwa na shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO kuwa ni eneo la urithi wa dunia.

Msikiti wa lamu ulianza mwaka 1837 pwani ya Kenya ni moja ya taasisi za zamani za ufundishaji wa dini ya kiisalmu katika ukanda wa Afrika mashariki.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles