29.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Mbunge ahoji Mashine za kufulia nguo Hospitalini

Ramadhan Hassan

Mbunge wa Viti Maalum, Mariamu Kisangi (CCM) amehoji  Serikali ina mpango gani wa kupeleka  mashine za kufulia nguo katika Hospitali za Dar es salaam.

Akiuliza swali bungeni leo Jumanne Mei 21, Kisangi amesema kwamba Hospitali za Dar es salaam hazina mashine za kufulia nguo, Je ni lini Serikali itatoa mashine hizo.

Akijibu swali hilo Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Serikali imejipanga kutoa  huduma zote za afya ikiwemo kununua mashine za kufulia katika Jijini la Dar es salaam.

“Tumejipanga kuboresha huduma zote na kununua mashine na madaktari bingwa naomba nilichukue tutatoa majibu ni lini ila tumeanza kuagiza,” amesema Ummy.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles