23.2 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

MBOWE ARIPOTI POLISINa Patricia Kimelemeta  

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa chama hicho,Dk. Vincent Mashinji wamewasili Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam ikiwa ni mwendelezo wa kutakiwa kufika kituoni hapo kwa ajili ya kusubiri kinachoendelea.

Wengine waliofika kituoni hapo ni Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho na Mbunge wa Jimbo la Ubungo,John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu na Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche.

Wabunge ambao walitakiwa kufika lakini wameshindwa kutokana na sababu mbalimbali ni Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko.

Wabunge waliofika kituoni hapo waliripoti wakiwa wameongozana na Wakili wao, Frederick Kihwelo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,244FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles